vimarsana.com

Page 232 - தெற்கு பக்கம் சிங்கங்கள் பூங்கா News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Divaina - ඩෙල්ටා ආසාදිතයෝ 20 ක් රටපුරා - ඒ අතර කොග්ගල ඇගලුම් සේවිකාවකුත්

Divaina - ඩෙල්ටා ආසාදිතයෝ 20 ක් රටපුරා - ඒ අතර කොග්ගල ඇගලුම් සේවිකාවකුත්
divaina.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from divaina.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Maambukizi ya COVID-19 yavunja rekodi Afrika Kusini

share Print Maafisa wa afya wa Afrika kusini wamesema Jumapili kwamba wimbi jipya la virusi vya corona nchini humo limevunja rekodi kwenye maambukizi ya kila siku. Kwa mujibu wa shirika la habari la AP zaidi ya kesi 26,000 mpya ziliripotiwa Jumamosi ikilinganishwa na 24,000 zilizoripotiwa Ijumaa kulingana na idara ya kitaifa ya magonjwa ya kuambukizwa. Maambukizi ya sasa yanesemekana kuwa ya juu zaidi Afrika Kusini tangu janga la corona lilipoingia nchini humo. Ripoti zinasema kuwa tayari kuna wagonjwa zaidi ya 13,800 wa covid kwenye hospitali za Afrika kusini ikisemekana kuwa baadhi ya hospitali zinaahirisha baadhi ya upasuaji ili kuweza kuhudumia wagonjwa hao. Vifo kutokana na corona nchini humo vimefika zaidi ya 63,000 ingawa baadhi ya takwimu kuhusu idadi ya vifo huenda ikawa zaidi ya 170,000. Kesi milioni 2 za covid Afrika kusini ni zaidi ya asilimia 30 ya jumla ya kesi zote zilizoripotiwa barani Afrika kulingana na kituo cha kudhibiti na kuzuia m

Mahakama ya Afrika Kusini kusikiliza rufaa ya Zuma

Mahakama ya Afrika Kusini kusikiliza rufaa ya Zuma Mahakama ya juu zaidi nchini Afrika Kusini imekubali kusikiliza ombi la Rais wa zamani Jacob Zuma la kutaka kifungo cha miezi 15 jela kifutiliwe mbali. Siku ya Jumanne Mahakama ya Kikatiba ilimpata na hatia ya kudharau agizo la mahakama la kutokeza kwenye uchunguzi wa ufisadi. Bwana Zuma alipewa hadi usiku wa manane Jumapili kujisalimisha mwenyewe. Haijulikani kama uamuzi wa mahakama wa kusikiliza rufaa dhidi ya uamuzi wake wenyewe yanaathiri tarehe ya mwisho iliyowekwa. Mahakama ya Katiba ilisema kwamba ilipokea ombi la kukata rufaa la Bw Zuma Ijumaa na itazingatia kesi hiyo mnamo Julai 12.

SriLankan Airlines partners with World Travel Awards for Indian Ocean Gala ceremony

SriLankan Airlines, the National Airline of Sri Lanka, is delighted to partner with World Travel Awards, for the first ever Indian Ocean Gala ceremony in the Maldives which takes place on May 12. SriLankan Airlines, the National Airline of Sri Lanka, is delighted to partner with World Travel Awards, for the first ever Indian Ocean Gala ceremony in the Maldives which takes place on May 12. World Travel Awards is widely acknowledge as the “Oscars of the travel industry” and is seen as a premier networking event for industry professional from all over the world. Says SriLankan Airlines Head of Worldwide Sales, Lal Perera: “SriLankan Airlines considers it a privilege to be associated with the World Travel Awards as an event partner on this memorable occasion, which coincides with Maldives celebrating forty triumphant years in Tourism Promotion. As neighboring island nations, Sri Lanka shares a close history with the Maldives, which can be traced back to 543 BC, and SriLankan Airl

Is Sri Lanka on a Tourism Suicide path? | Breaking Travel News

The good news, there has never been a better time to visit Sri Lanka. It’s true when it comes to travel specials available. Sri Lanka is safe, but to relate such a message may be a challenge. The bad news is the Sri Lanka tourism industry suffered a further blow with last week’s sporadic incidents in the North Western Province and parts of Gampaha, as hoteliers began offering discounts of up to 70% in some instances. “The attacks hurt tourism, and the riots hurt tourism. The riots caused the same security issues the terrorist attacks caused,” said Saliya Dayananda, president of the Cultural Triangle Hoteliers Association and the Co-chairperson of the Association for Dambulla and Sigiriya Tourism Promotion. The industry is particularly concerned about overseas travel warnings.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.